Tecno Camon 20
Mandhari

Tecno Camon 20, Camon 20 Pro, Camon 20 Pro 5G, na Camon 20 Premier 5G ni simu za Android kutoka Tecno Mobile, zilizotangazwa Mei 9, 2023, kama mrithi wa Camon 19. Simu hizi zimeboreshwa kwa muundo, mfumo wa uendeshaji, na processor. Zimepongezwa kwa uimara wake wa IP53 dhidi ya maji na vumbi, muundo, na utendaji wake, lakini zimekosolewa kwa kukosa kuchaji bila waya.[1][2][3][4]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tenco Camon 20 - TECNO". Tecno.
- ↑ "Tecno Camon 20 Pro - TECNO". Tecno.
- ↑ "Tecno Camon 20 Pro 5G - TECNO". Tecno.
- ↑ "Tecno Camon 20 Premier 5G - TECNO". Tecno.
| Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |