Taylor Momsen
Mandhari
Taylor Michel Momsen (alizaliwa 26 Julai 1993) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, mwanamitindo na mwigizaji wa Marekani. Kabla ya kustaafu kutoka kwa uigizaji, alicheza kama mhusika Cindy Lou Who katika filamu How the Grinch Stole Christmas (2000) na Jenny Humphrey katika mfululizo wa tamthilia za vijana wa The CW Gossip Girl (2007–2010; 2012).[1][2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Iandoli, Kathy (October 21, 2016). "Taylor Momsen Goes Deep on Music, Religion, and Duct-Taping Her Nipples", Cosmopolitan.com. Retrieved September 22, 2018.
- ↑ "Taylor Momsen on Tragedy, Satanism, and Getting Naked" (March 26, 2014). MTV.co.UK. Retrieved September 22, 2018.
- ↑ "Taylor Momsen". Yahoo Movies. Aprili 20, 2011. Iliwekwa mnamo Septemba 2, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Taylor Momsen Gets Spiritual". Intelligencer. Agosti 9, 2010. Iliwekwa mnamo Septemba 2, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Taylor Momsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |