Nenda kwa yaliyomo

Taswira (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taswira ni filamu inayoonyesha safari ya muziki ya msanii anayeitwa kwa jina Belle 9, anapopambana na changamoto za maisha yake binafsi na tasnia ya muziki.[1]

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
  • Mariam Swaibu
  • Ussi Haji
  • Fanueli Phabiani
  1. "Taswira | azam". web.azamtvmax.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-08-30.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taswira (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.