Nenda kwa yaliyomo

Tarina Patel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarina Patel ni mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mwanamitindo na mtangazaji wa televisheni kutoka nchini Afrika Kusini.

Alizaliwa Cape Town na kulelewa Durban. Aliwahi kuonekana katika filamu ya mchanganyiko wa vichekesho na kutisha Bhool Bhulaiyaa, akishirikiana na mwigizaji Akshay Kumar.

Pia ameshiriki katika kipindi cha runinga cha uhalisia The Real Housewives of Johannesburg, ambacho ni toleo la Afrika Kusini la franchise maarufu ya Kimarekani The Real Housewives.[1][2]

  1. Pantsi, Nandipha. "Tarina Patel, the beauty on Generations". The Citizen (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-09-06.
  2. "Bollywood Star Tarina Patel joins the cast of Generations: The Legacy | DESTINY Magazine". DESTINY Magazine (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2015-02-27. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Septemba 2018. Iliwekwa mnamo 2018-09-06.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarina Patel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.