Tarcisius Gervazio Ziyaye
Mandhari
Tarcisius Gervazio Ziyaye (19 Mei 1949 – 14 Desemba 2020) alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Malawi.
Ziyaye alizaliwa nchini Malawi akapadrishwa mwaka 1977. Kuanzia 1991 hadi 1993, alihudumu kama Askofu wa jimbojina la Macon na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Dedza.
Mwaka 1993, aliteuliwa kuwa Askofu Mwandamizi wa Lilongwe, na mwaka 1994, akawa Askofu wa Jimbo la Lilongwe. Mnamo 2001, aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Blantyre.
Kuanzia mwaka 2013 hadi kifo chake mwaka 2020, alihudumu kama Askofu Mkuu wa Lilongwe.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archbishop Tarcisius Gervazio Ziyaye [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2021-05-14.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |