Nenda kwa yaliyomo

Tarcisio Stramare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarcisio Stramare (14 Septemba 192820 Machi 2020) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki, mtaalamu wa Biblia, mwandishi na mwalimu kutoka Italia.

Alitambulika kama mmoja wa wasomi wakuu wa kimataifa katika utafiti wa Yosefulojia.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.