Nenda kwa yaliyomo

Tanya Tucker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tanya Denise Tucker (alizaliwa 10 Oktoba, 1958)[1] ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa country kutoka Marekani, ambaye alipata hit yake ya kwanza, "Delta Dawn", mwaka 1972 akiwa na umri wa miaka 13.[2][3]

  1. Colin Larkin, mhr. (1993). The Guinness Who's Who of Country Music (tol. la First). Guinness Publishing. ku. 420/1. ISBN 0-85112-726-6.
  2. Tanya Tucker biography at Allmusic
  3. Grammy Winners List 2020 by Zoe Haylock, Vulture.com, January 27, 2020.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tanya Tucker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.