Tannounyan
Mandhari
Tannounyan ni mkoa kusini magharibi mwa Burkina Faso. Mkoa huo una eneo la km² 18,917 na idadi ya wakazi mwaka 2024 ilikuwa 945,000[1].
Makao makuu yako mjini Banfora.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tannounyan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |