Nenda kwa yaliyomo

Tanit Phoenix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanit Phoenix

Tanit Phoenix (alizaliwa Durban, KwaZulu-Natal, 24 Septemba 1980) ni mwanamitindo, mwigizaji na msanii wa mapambo kutoka nchini Afrika Kusini.

Anajulikana zaidi kwa picha zake za uanamitindo wa mavazi ya kuogelea na nguo za ndani, baada ya kuonekana katika toleo la Sports Illustrated Swimsuit Issue mwaka 2003, pamoja na majarida ya GQ na FHM katika mwaka huo huo.[1][2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Tanit Phoenix ana asili ya Uholanzi na Eire.[3][4]

  1. "Tanit Choice". Tanit Phoenix website. 2 Mei 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Mei 2010. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Tanit Phoenix Biography". IGN. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Machi 2011. Iliwekwa mnamo 15 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Tanit Phoenix". Ubuhle. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Juni 2010. Iliwekwa mnamo 15 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Wiggins, Luke (14 Novemba 2013). "Tanit Phoenix, International Actress and South African Super Model Interview". The Night Life. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Novemba 2013. Iliwekwa mnamo 15 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tanit Phoenix kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.