Mkoa wa Tanganyika
Mandhari
(Elekezwa kutoka Tanganyika Province)
| Mkoa wa Tanganyika | |
| Majiranukta: 05°56′S 29°12′E / 5.933°S 29.200°E | |
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Wilaya | 6 |
| Mji mkuu | Kalemie |
| Serikali | |
| - Gouverneur | |
| Eneo | |
| - Jumla | 134,940 km² |
| Idadi ya wakazi (2015) | |
| - Wakazi kwa ujumla | 3,062,000 |
Mkoa wa Tanganyika ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uko upande wa Mashariki wa nchi ukipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,062,000.
Wilaya
[hariri | hariri chanzo]Mkoa umegawanywa katika mji huo na wilaya 6:
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]- Katanga
- Tanganyika_(ziwa)#Jina kuhusu asili ya jina
| Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tanganyika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

