Tandala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:57, 11 Novemba 2014 na Rberetta (majadiliano | michango) (Tumia herufi ndogo katika maelezo ya ngazi.)
Tandala
Dume la tandala mkubwa (Tragelaphus strepsiceros)
Dume la tandala mkubwa
(Tragelaphus strepsiceros)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Jenasi: Tragelaphus (Nyala, pongo na tandala)
de Blainville, 1816
Ngazi za chini

Spishi 8:

T. angasii Angas, 1849
T. buxtoni (Lydekker, 1910)
T. eurycerus (Ogilby, 1837)
T. imberbis (Blyth, 1869)
T. scriptus (Pallas, 1766)
T. spekii Sclater, 1863
T. strepsiceros (Pallas, 1766)
T. sylvaticus (Sparrman, 1780)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tandala ni wanyama wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae. Spishi nyingine huitwa bongo, kulungu, malu, nyala au nzohe. Wanatokea Afrika katika maeneo yenye miti kutoka nyika hadi msitu. Wana milia na madoa nyeupe juu ya rangi ya kahawa au kijivu. Dume ni kubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe. Wanyama hawa hula majani, manyasi, matunda na viazi vya gugu.

Spishi

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tandala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.