Tamara Kvesitadze
Mandhari
Tamara Kvesitadze (alizaliwa 1968) ni msanii na mchongaji wa Georgia. Anajulikana zaidi kwa sanamu yake ya "Mwanamume na Mwanamke," ambayo baadaye ilipewa jina la "Ali na Nino," iliyobuniwa mwaka 2007 na kusimikwa kwenye ufukwe wa bahari mjini Batumi, Georgia tangu mwaka 2010. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "These statues pass through each other daily, telling a tragic love story". independent.co.uk. 13 Oktoba 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-26. Iliwekwa mnamo 26 Machi 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamara Kvesitadze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[jamii:waliozaliwa ]1968]