Tamás Bakócz
Mandhari

Tamás Bakócz (Erdőd, 1442 - Esztergom, 1521) alikuwa askofu mkuu, kardinali, na mtawala wa Hungaria. Alikuwa mgombea mkuu katika uchaguzi wa Papa wa mwaka 1513.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Schaefer, Francis. "Thomas Bakócz." The Catholic Encyclopedia Vol. 2. New York: Robert Appleton Company, 1907. 20 August 2023
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |