Nenda kwa yaliyomo

Talk Talk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Talk Talk (novel))

Talk Talk ni riwaya ya mwaka 2006 iliyoandikwa na T. C. Boyle. Inahusu mwanamke kijana kiziwi anayekuwa mwathirika wa ulaghai wa kadi ya mkopo na wizi wa utambulisho. Polisi waliposhindwa kutoa msaada wa kutosha, mwanamke huyo pamoja na mpenzi wake wakaamua kumtafuta mhalifu wao wenyewe.[1]

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Talk Talk kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.