Taifa (Kipakatalishi)
Taifa ni jina la kipakatalishi kinachoundwa na chuo kikuu cha JKUAT[1].
Kilianza kuundwa mwaka wa 2013 kutokana na tarajio la Serikali ya Kenya kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza kipakatalishi moja kwa matumizi ya darasani[2].
Kilianza kuuzwa madukani mwaka wa 2014.
Kinaundwa kwenye Kiwanda cha Teknologia cha Nairobi[3].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-07. Iliwekwa mnamo 2017-07-17.
- ↑ https://medium.com/@kiruik/the-taifa-laptop-saga-could-jkuat-have-designed-the-program-better-9ac1d3665dcc
- ↑ http://commerceandindustry.co.ke/2015/11/30/behold-the-taifa-laptop-made-in-kenya-by-our-very-own-jkuat/[dead link]