Tafsida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tafsida ni tamathali za semi ambazo ni za adabu na huwa zinatumika kupunguza ukali wa maneno.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Tafsida" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.