Tadeo Allende
Mandhari
Tadeo Allende (alizaliwa tarehe 20 Februari 1999) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya winga (mshambuliaji wa pembeni) kwa klabu ya Inter Miami inayoshiriki Major League Soccer (MLS).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tadeo Allende: "Me encantan Lewandowski y Benzema"" [Tadeo Allende: "I love Lewandowski and Benzema"] (kwa Kihispania). Instituto ACC. 26 Agosti 2020. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tadeo Allende kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |