Taddasa Liban
Mandhari
Tāddasa Lībān ni mwandishi kutoka Ethiopia anayejulikana kwa mkusanyo wa hadithi za Maskaram kutoka mwaka 1956.[1] Hadithi za Tāddasa Līban mara nyingi huhusisha maisha ya Addis Ababa.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Britannica.com
- ↑ Reidulf Knut Molvaer (1980). Tradition and Change in Ethiopia: Social and Cultural Life As Reflected in Amharic Fictional Literature, Ca.1930-1974. BRILL. ku. 2, 9, 14, 189, 198, 213, 214, 236, 239. ISBN 90-04-05998-9.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Taddasa Liban kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |