Tabaka la kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyumba ya kawaida ya tabaka la kati huko Marekani

Ndani ya ubepari wa kisasa, tabaka la kati ni familia/mtu mwenye sio maskini wala si tajiri pia anaitwa mlala heri. Pia kuna tabaka la kati la chini na la juu. Katika Umaksi, ni tabaka la kijamii lililo juu ya tabaka la wafanyakazi na chini ya matajiri (tabaka la juu).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]