Taasisi ya Wahandisi wa Kenya
Mandhari
Taasisi ya Wahandisi wa Kenya (kwa Kiingereza: The Institution of Engineers of Kenya, ufupi: IEK) ni shirika la kiusomi linalojumuisha wataalamu wote wanaohusika katika taaluma ya uhandisi nchini Kenya. Iliasisiwa 1972 baada ya kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki[1]. Malengo yake makuu ni kuwakilisha wataalamu wa uhandisi pamoja na kuendeleza utaalamu.
Majarida
[hariri | hariri chanzo]- Jarida la Engineering in Kenya
- Jarida la Kiafrika la Utafiti na Uvumbuzi katika Uhandisi (African Journal of Engineering Research and Innovation)
- Chapa za Kongamano
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "About Us | The Institution of Engineers of Kenya (IEK)". iekenya.org. Iliwekwa mnamo 2025-08-21.