Nenda kwa yaliyomo

Taasisi ya Wahandisi Wataalamu Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taasisi ya Wahandisi Wataalamu Uganda (kwa Kiingereza: Uganda Institution of Professional Engineers, ufupi: UIPE) ni shirika linaloendeleza taaluma ya uhandisi nchini Uganda. Iliasisiwa mwaka 1972[1].

  1. "WHO WE ARE – UIPE" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-08-21.