Taasisi ya Wahandisi Wanateknolojia na Mafundisanifu Kenya
Mandhari
Taasisi ya Wahandisi Wanateknolojia na Mafundisanifu Kenya (kwa Kiingereza: Institution of Engineering Technologists and Technicians (Kenya), ufupi: IET-K) ni shirika la kiusomi linalojumuisha wahandisi wanateknolojia na mafundisanifu nchini Kenya. Taasisi hii huendeleza teknolojia ya uhandisi kwa kuwakilisha wataalamu wa uhandisi waliosomea katika vyuo vya ufundi na wale waliohitimu Shahada ya Teknolojia katika Uhandisi. Iliasisiwa mwaka 2011[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "About Us | The Institution Engineering Technologists and Technicians (IET)" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-03-29. Iliwekwa mnamo 2025-08-21.