Taasisi ya Wahandisi Rwanda
Mandhari
Taasisi ya Wahandisi Rwanda (kwa Kiingereza: The Institution of Engineers Rwanda, ufupi: IER) ni shirika la kiusomi lililotwikwa wajibu wa kudhibiti taaluma ya uhandisi nchini Rwanda. Iliasisiwa mwaka 2008 na kupatiwa mamlaka ya kudhibiti uhandisi mwaka 2012[1][2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "LAW No 26/2012". www.amategeko.gov.rw. Iliwekwa mnamo 2025-08-22.
- ↑ "About-Us". engineersrwanda.rw. Iliwekwa mnamo 2025-08-22.