Taaluma ya udaktari na bayolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

TAALUMA YA UDAKTARI NA BAYOLOJIA

Uchunguzi wa mwili wa binadamu, angalau kutoka maelekezo mbalimbali kwa malengo tofauti, ni kiungo muhimu kati ya taaluma ya udaktari na baadhi ya nidhamu mablimbali za uhandisi. Taaluma ya udaktari inalenga kuendeleza, kuimarisha na hata nafasi ya kubadili utendaji wa mwili wa binadamu, ikiwa kuna lazima, kwa kutumia teknolojia.

Taaluma ya udaktari ya kisasa inaweza kuchukua nafasi kadhaa za kubadili utendaji wa mwili kupitia matumizi ya viungo bandia na inaweza kwa ubora kubadilisha kazi ya mwili wa binadamu kupitia vifaa bandia kama vile, kwa mfano, ubongo wa kuekelewa na kifaa cha kusukuma mdundo wa moyo. Katika uwanja wa kutumia machine za kibayolojia na matibabu kutumia machine za kibaologia ni wakfu na utafiti wa viungo vya kubandika vilivyo tengenezwa na kemikali inayohusu mifumo ya asili.

Kinyume, baadhi ya nidhamu mablimbali za uhandisi huuangalia mwili wa binadamu kama mashine ya kibayolojia thamani wa kuusoma, na lengo ni kuiga utendaji wake mwingi kwa kuondoa bayolojia na kubadilisha na teknolojia. Hii imesababisha kuzuka kwa viwanja kama maelazo ya siri yaloekwa na binadamu,mitandao ya mishipa ya hisia, mantiki yalofichika, na machine za kusukumwa kupitia teknologia ya. Pia kuna mwingiliano wa nguvu wa nidhamu kati ya uhandisi na taaluma ya udaktari.

Viwanja katika pande zote mbili hutoa ufumbuzi kwa matatizo ya kweli ya ulimwengu. Hii kwa mara nyingi inahitaji kusonga mbele kabla maajabu kueleweka kabisa katika hisia kali za kisayansi na hivyo, majaribio na maarifa yaliyoangaziwa ni sehemu muhimu kati ya taaluma mbili hizi

Taaluma ya udaktari, kwa sehemu, inatafiti kazi ya mwili wa binadamu. Mwili wa binadamu, kama mashine ya kibayolojia, una kazi nyingi ambazo zinaweza kutengenezwa kutumia mbinu za Uhandisi.

Moyo kwa mfano utendaji wake kiasi kama pampu, skeletoni ni kama muundo uliohusishwa na ukarabati wa viongo, ubongo hutoa ishara za umeme. Haya mafanano vilevile kuongeza kwa umuhimu na matumizi ya kanuni za uhandisi ndani ya yaaluma ya udaktari, iliyoongoza kwa maendeleo ya uwanja wa matibabu ya uhandisi kwamba unatumia dhana zilizotengenezwa katika nidhamu zote mbili.

Zinazojitokeza kwa upya katika matawi ya kisayansi, kama vile mifumo ya kibayolojia,wanaomba vifaya vya kurekebisha zana za kijadi zilizotumika katika uhandisi, kama vile mifumo ya miundo na uchambuzi, katika maelezo ya mifumo kibayolojia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Rod of Asclepius2.svg Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taaluma ya udaktari na bayolojia kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.