T.J. Tahid
Mandhari

Taryck Jordan Tahid (alizaliwa Aprili 21, 2007) ni Mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Kanada anayezacha kama kiungo katika klabu ya Vancouver FC inayoshiriki Ligi kuu ya Kanada. Yeye ndiye mchezaji mchanga zaidi kuwahi kucheza katika mechi ya ligi Kuu ya Kanada, pia ndiye mchezaji mchanga zaidi kufunga goli katika historia ya ligi.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Taryck Jordan Tahid profile". Vancouver FC.
- ↑ Vallejo, Felipe (Mei 19, 2023). "Remember The Name: An Interview with Vancouver FC's record-breaking Taryck "TJ" Tahid". Away from the Numbers.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Balzer, Kyle (Novemba 3, 2023). "New West soccer alum named to Canada's FIFA U17 World Cup squad". New Westminster Record.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu T.J. Tahid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |