T-Mobile
Mandhari
T-Mobile ni jina la chapa linalotumiwa na baadhi ya kampuni tanzu za mawasiliano ya simu za mkononi za kampuni ya Kijerumani, Deutsche Telekom AG, katika nchi za Jamhuri ya Czech (T-Mobile Czech Republic), Polandi (T-Mobile Polska), na Marekani (T-Mobile US)[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Annual Report 2006 PDF" (PDF) (kwa Kiingereza). Deutsche Telekom AG. uk. 76. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 2017-02-02. Iliwekwa mnamo 2017-01-24.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |