Nenda kwa yaliyomo

Syreja Vlora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Syreja Vlora (1860–1940), ambaye kawaida hujulikana kama Syrja Bey Vlora alikuwa mwanasiasa wa Albania chini ya Dola la Osmani, mwanaharakati wa Azimio la Uhuru wa Albania mnamo mwaka 1912[1] na mmoja wa wajumbe wa Bunge la Vlorë.[2]

  1. "History of Albanian People" Albanian Academy of Science.ISBN 99927-1-623-1
  2. Michael Schmidt-Neke (16 Novemba 1987), Entstehung und Ausbau der Königsdiktatur in Albanien (1912-1939): Regierungsbildungen, Herrschaftsweise und Machteliten in einem jungen Balkanstaat, Oldenbourg Wissenschaftsverlag, uk. 320, ISBN 978-3486543216{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Syreja Vlora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.