Nenda kwa yaliyomo

Sylwester Sembratowicz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sylwester Sembratowicz (3 Septemba 18364 Agosti 1898) alikuwa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina kuanzia 1885 hadi kifo chake mwaka 1898 na pia Kardinali wa Kanisa Katoliki.[1]

  1. "S. Emin. Il Card. Sivestro Sembratowycz". Bessarione. 4. Rome: 270. 1898.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.