Sylvia Muzila
Mandhari
Sylvia Muzila (wakati mwingine akitajwa kama Sylvia Tabitha Muzila, jina la awali Nlea) ni mwanasiasa kutoka Botswana na ndiye mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa meya wa jiji la Francistown, Botswana. Akiwa mwanachama wa Chama cha Botswana Democratic Party (BDP), alichaguliwa kushika wadhifa huo mwaka 2014 na alihudumu hadi mwaka 2019. Aidha, Muzila alikuwa miongoni mwa kundi la kwanza la wanawake kuajiriwa katika Jeshi la Polisi la Botswana wakati huo.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Dube, Chakalisa (4 Juni 2021). "Gov't building goes to waste". Mmegi Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-06-13.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Motsumi, Gosego (16 Desemba 2020). "The Untold Story Of Sylvia Muzila, The Fearless Woman Of Many Firsts". The Botswana Gazette. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sylvia Muzila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |