Sylvestre Mudacumura
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Sylvestre Mudacumura (alizaliwa 1954 – 17/18 Septemba 2019) alikuwa kiongozi wa waasi kutoka Rwanda na kiongozi wa kikosi cha kijeshi cha waasi cha Forces Démocratiques de Libération du Rwanda (FDLR), kilichojulikana kama Forces Combattants Abacunguzi (FOCA).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Romkena, Hans; De Vennhoop (Juni 2007). "Opportunities and Constraints for the Disarmament and Repatriation of Foreign Armed Groups in the Democratic Republic of the Congo: The cases of the: FDLR, FNL and ADF/NALU" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-06-05. Iliwekwa mnamo 2010-01-10.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link), p. 45
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sylvestre Mudacumura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |