Sylvester William Treinen
Mandhari
Sylvester William Treinen (19 Novemba 1917 – 30 Septemba 1996) alikuwa askofu wa Marekani katika Kanisa Katoliki.
Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Boise, Idaho, kuanzia 1962 hadi 1988.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Priests who have served at St. Joseph". Church of Saint Joseph. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-25.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |