Sydney (uwanja wa mpira)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Sydney.

Sydney (unaojulikana kibiashara kama uwanja wa Allianz) ni uwanja wa mpira wa miguu huko Moore Park, Sydney nchini Australia. Ulijengwa mwaka wa 1988 karibu na uwanja mkubwa wa Kriketi barani Australia.

Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu zaidi ya 45,500.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Sydney (uwanja wa mpira) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.