Sybille Bammer
Mandhari
Sybille Bammer (amezaliwa tarehe 27 Aprili 1980) ni mchezaji wa zamani wa tenisi wa kulipwa kutoka Austria. Nafasi yake ya juu zaidi katika viwango vya ubora duniani ilikuwa namba 19, aliyoiifikia tarehe 17 Desemba 2007.
Alikuwa mmoja wa akina mama watatu waliokuwa wakishiriki mashindano ya WTA Tour, baada ya kusimamisha kwa muda taaluma yake akiwa na umri wa miaka 21 ili kujifungua binti yake aitwaye Tina kabla ya kurejea tena katika mashindano hayo. Aliposhinda mashindano ya Pattaya Open ya 2007, ilikuwa mara ya kwanza kwa mama kushinda mashindano ya ziara hiyo katika kipindi cha miaka 18 tangu ushindi wa Laura Arraya mwaka 1989.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Branch, John (28 Juni 2007). ["Tennis): Raising a child and her ranking". The New York Times.
{{cite news}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sybille Bammer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |