Swami Vivekananda
Mandhari

Swami Vivekananda (12 Januari 1863 – [[4 Julai] 1902) alikuwa mtaalamu wa dini wa Kihindu (monk), mwanafalsafa, mwandishi, mwalimu wa dini wa India, na mwanafunzi mkuu wa kiongozi wa kiroho wa Kihindi (mystic)[1] Ramakrishna.[2]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Vivekananda alizaliwa kama Narendranath Datta (jina likafupishwa kuwa Narendra au Naren) katika familia ya kiungwana ya Kibengali ya tabaka la Kayastha, kwenye nyumba ya mababu zake iliyopo Mtaa wa 3 Gourmohan Mukherjee huko Calcutta.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20170509141232/http://www.culturalindia.net/reformers/vivekananda.html
- ↑ https://www.oneindia.com/feature/swami-vivekananda-a-short-biography-1980622.html
- ↑ https://indianexpress.com/article/research/international-yoga-day-2017-how-swami-vivekananda-helped-popularise-the-ancient-indian-regimen-in-the-west-4715411/
- ↑ https://theprint.in/india/sisters-and-brothers-of-america-full-text-of-swami-vivekanandas-iconic-chicago-speech/257916/
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Swami Vivekananda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |