Swala ya Ijumaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Swala ya Ijumaa katika chuo kikuu cha Malaysia.
Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja wa Mungu
Manabii
Misahafu
Malaika
Uteule
Kiyama
Nguzo za Kiislamu
ShahadaSwalaSaumu
HijaZaka

Waislamu muhimu

Muhammad

Abu BakrAli
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

Qur'anSunnahHadithi
Wasifu wa Muhammad
Sharia
Elimu ya Sheria za KiislamuKalam

Historia ya Uislamu

Historia
SunniShi'aKharijiyaRashidunUkhalifaMaimamu

Tamaduni za Kiislamu

ShuleMadrasa
TauhidiFalsafaMaadili
Sayansi
SanaaUjenziMiji
KalendaSikukuu
Wanawake
ViongoziSiasa
Uchumi
UmmaItikadi mpyaSufii

Tazama pia

Uislamu na dini nyingine
Hofu ya Uislamu

Swala ya Ijumaa (kwa Kiarabu صَلَاة ٱلْجُمُع) ni sala ya kila wiki ya Waislamu inayofanyika kila Ijumaa wakati wa Adhuhuri katika kipindi cha Swala ya Dhuhri.

Kwa kawaida, Waislamu hufanya swala katika vipindi vitano vya siku hii ikiendana kabisa na mwendo wa jua kulingana na eneo husika.[1]

Katika Quran[hariri | hariri chanzo]

Quran inasema yafuatayo juu ya swala ya Ijumaa: "Enyi mlio amini, Kukiadhiniwa kwa ajili ya swala ya Ijumaa, nendeni upesi kumtaja Mwenyezi Mungu, na muacheni biashara zenu, kwani kufanya hivyo ni bora ikiwa mnajua". Suratul Jummuah aya ya 62[2]}}

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dar ul Haqq Islamic Institute – Masjed At Taqwaa". Reno Mosque. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 September 2013. Iliwekwa mnamo 28 September 2012.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Qur'an 62:9–10
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.