Swala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:41, 11 Novemba 2014 na Rberetta (majadiliano | michango) (Tumia herufi ndogo katika maelezo ya ngazi.)
Swala
Swala tomi (Eudorcas thomsonii)
Swala tomi
(Eudorcas thomsonii)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Ngazi za chini

Nusufamilia 3:

Aepycerotinae (Swala pala)
J. E. Gray, 1872
Antilopinae (Wanyama wanaofanana na swala)
J. E. Gray, 1821
Pantholopinae (Swala wa Tibeti)
Hodgson, 1834

Jenasi 1 ya Aepycerotinae:

Aepyceros Sundevall, 1847

Jenasi 10 za Antilopinae:

Ammodorcas Thomas, 1891
Antidorcas Sundevall, 1847
Antilope Pallas, 1766
Dorcatragus Noack, 1894
Eudorcas Fitzinger, 1869
Gazella de Blainville, 1816
Litocranius Kohl, 1886
Nanger Lataste, 1885
Procapra Hodgson, 1846
Saiga J. E. Gray, 1843

Jenasi 1 ya Pantholopinae:

Pantholops Hodgson, 1834

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Swala ni wanyama walao manyasi katika nusufamilia Antilopinae, Aepycerotinae na Pantholopinae za familia Bovidae. Hupatikana katika maeneo yenye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika. Spishi nyingine hukimbia kilometa 80 kwa saa na zina uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yao ni ya mchanga na nyeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui yao wakubwa ni simba, chatu na chui.

Spishi

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Swala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.