Sven Ulreich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sven Ulreich

Sven Ulreich (alizaliwa tarehe 3 Agosti 1988) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Bayern Munich.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sven Ulreich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.