Nenda kwa yaliyomo

Sven Bender

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sven Bender (alizaliwa Aprili 27, 1989) ni mchezaji wa zamani wa soka wa kulipwa wa Ujerumani aliyekuwa akicheza kama beki wa kati au kiungo mkabaji. Kwa sasa ni kocha wa klabu ya Regionalliga, SpVgg Unterhaching. Yeye ni pacha wa kocha na mchezaji wa zamani Lars Bender.[1]

  1. ↑ "Sven and Lars Bender retire from football". 21 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sven Bender kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.