Suzanna Ogunjami
Suzanna Ogunjami, alikuwa msanii mwenye asili ya Igbo .[1] Alihama kutoka Nigeria kwenda Jamaika kisha katika Jiji la New York, ambako aliishi hadi mauti yalipomkuta (1928-1934). Alikua mwanamke wa kwanza wa Kiafrika kuwa na maonyesho ya pekee katika nyumba ya sanaa ya kibiashara nchini Marekani.[1] Alifahamika pia kwa jina la Suzanne Ogunjami Wilson.[2]
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Tarehe ya kuzaliwa ya Ogunjami haijulikani, na akaunti zake zilizoandikwa zinatofautiana na Sensa ya Marekani na rekodi za ndoa, ambazo zinasema kwamba alizaliwa Jamaika ( ingawa Ogunjami alidai kuwa Nigeria kuwa mahali pa kuzaliwa kwake).[3] Akiwa na umri mdogo, alihamia Jamaika ambako alimaliza elimu yake ya msingi, kisha na kuhamia katika Jiji New York mnamo 1921.[1] Alichukua kozi ya mitindo ya nguo katika cha Chuo Kikuu cha Columbia,[1] alihitimu shahada ya awali katika sayansi mnamo 1928, na Shahada ya Uzamili katika sanaa mnamo 1929.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 3 4 Powell, Richard J. To conserve a legacy : American art from historically Black colleges and universities. Reynolds, Jock, Addison Gallery of American Art, Phillips Academy, Studio Museum in Harlem, Corcoran Gallery of Art, Howard University. Gallery of Art. Andover, Mass. ISBN 0-262-16186-9. OCLC 40331251.
- ↑ "Robynson, Bernie Haynes. (b. Paris, KY, 1900; active New York, NY, 1954)". African American Visual Artist Database (AAVAD). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 5, 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 Ottenberg, Simon (2015). "Conflicting Interpretations in the Biography of a Modern Artist of African Descent". Journal of West African History. 1 (2): 45–70. doi:10.14321/jwestafrihist.1.2.0045. ISSN 2327-1868.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Suzanna Ogunjami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |