Susan Ama Duah
Mandhari
Susan Ama Duah (alizaliwa 3 Februari 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kitaalamu kutoka nchini Ghana anayekipiga kama beki wa kati na kiungo mkabaji katika klabu ya mpira ya Racing Power FC ya Ureno, pamoja na timu ya taifa ya Ghana.
Duah alizaliwa Begoro. Amechezea timu ya Ghana ya vijana chini ya umri wa miaka 20, na pia aliwahi kuchezea klabu ya Avaldsnes IL ya Norway.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ghana - S. Duah - Profile with news, career statistics and history". Soccerway. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Susan Ama Duah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |