Sunny Edet Ohia
Mandhari
Sunny Edet Ohia ni profesa wa Famakolojia katika Chuo Kikuu cha Texas Kusini nchini Marekani akiwa ni mwanachama mwandamizi wa Akademia ya Sayansi ya Nigeria, ambapo alichaguliwa kujiunga na akademia hiyo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika mnamo Januari 2015. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "NAS holds public lecture induction of fellows". nas.org.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 8, 2015. Iliwekwa mnamo Julai 13, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sunny Edet Ohia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |