Nenda kwa yaliyomo

Sunday Manara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sunday Ramadhan Manara (alizaliwa 23 Novemba 1952) ni Mtanzania na alikua mchezaji wa soka wa kulipwa akicheza kama winga.

Alipewa jina la utani 'Kompyuta', Manara alisajiliwa na Klabu ya Ujerumani ya Heracles Almelo mnamo mwaka 1977, akawa Mtanzania wa kwanza kucheza soka la Ulaya. [1][2][3][4][5] Mnamo mwaka 1979 alijiunga na New York Eagles ya Marekani.[6]. Kabla ya nusu ya mwisho ya miaka ya 1979-90 alijiunga na Austrian club FC St. Veit.[7] Baada ya hapo Manara alisajiliwa na Al Nasr ya Falme za Kiarabu. [8]

Maisha yake

[hariri | hariri chanzo]

Manara ni baba wa aliyewai kuwa msemaji wa timu za Simba na Yanga Haji Manara

  1. "Het verhaal Sunday Manara". teksterij.nl. Archived from the original on 2 October 2022. Retrieved 17 June 2022.
  2. Het onvergetelijke anderhalf jaar van Sunday Manara bij Heracles". tubantia.nl. Archived from the original on 17 June 2022. Retrieved 17 June 2022.
  3. Sunday manara: tropische verrassing". Archived from the original on 24 July 2023. Retrieved 18 June 2022.
  4. SUNDAY MANARA, MTANZANIA WA KWANZA KUCHEZA SOKA ULAYA". binzubeiry.co.tz. Archived from the original on 10 August 2022. Retrieved 17 June 2022.
  5. Jangwani Grounds, once a football hub with over 20 pitches now a floods zone". thecitizen.co.tz. Archived from the original on 24 November 2022. Retrieved 17 June 2022.
  6. UNAMKUMBUKA SUNDAY MANARA "COMPUTER"?". bongocelebrity.com. Archived from the original on 24 July 2023. Retrieved 24 July 2023.
  7. Der Ramadhani hat sogar den Prohaska ausgestochen"". kleinezeitung.at. Archived from the original on 20 January 2021. Retrieved 17 June 2022.
  8. Sunday Manara 'Kompyuta' Mtanzania wa kwanza Ulaya". mwananchi.co.tz. Archived from the original on 24 July 2023. Retrieved 17 June 2022.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sunday Manara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.