Nenda kwa yaliyomo

Sudipta Kaviraj

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sudipta Kaviraj (1945) ni mtaalamu wa Siasa na Historia ya Kiakili ya Asia Kusini, anayehusishwa mara nyingi na elimu ya Postcolonial Studies na Subaltern Studies. Hivi sasa anafundisha katika chuo kikuu cha Columbia University katika idara ya Masomo ya Mashariki ya Kati, Asia Kusini na Afrika.[1]

  1. "Archives". Jawaharlal Nehru University.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sudipta Kaviraj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.