Nenda kwa yaliyomo

Streaking

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Streaking ni kitendo cha kukimbia uchi kupitia eneo la umma kwa ajili ya kupata umaarufu, furaha, mzaha, changamoto, au kama njia ya kupinga, au kushiriki katika mtindo.

Streaking mara nyingi inahusishwa na matukio ya michezo, lakini inaweza kutokea katika maeneo ya mbali. Wale wanaofanya streaking mara nyingi hutafutwa na maafisa wa michezo au polisi. Kitendo hiki mara nyingi kinachukuliwa kama burudani ikiwa kifanyike na mwanamke mrembo[1].

Tanbihii

[hariri | hariri chanzo]
  1. Speirs, Doug (23 Juni 2018). "Jun 2018: Streakers make some events memorable for wrong reasons". Winnipeg Free Press – kutoka www.winnipegfreepress.com.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Streaking kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.