Nenda kwa yaliyomo

Stevie Nicks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephanie Lynn Nicks (alizaliwa 26 Mei, 1948)[1] ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani, anayejulikana kwa kazi yake na bendi ya Fleetwood Mac na pia kama msanii wa solo.[2][3]

  1. Who's Who of American Women 2004–2005 (tol. la 24). Marquis Who's Who. 2004. uk. 1011. ISBN 978-0837904306.
  2. "Gold & Platinum". RIAA (kwa American English). Iliwekwa mnamo Septemba 15, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Brackett, Donald (2007). Fleetwood Mac : 40 years of creative chaos. Westport, Conn.: Praeger. ISBN 978-1-57356-705-3. OCLC 191675170.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stevie Nicks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.