Nenda kwa yaliyomo

Steven Friedman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Steven Eli Friedman

Steven Eli Friedman (alizaliwa 31 Machi 1953) ni msomi, mwandishi wa makala za magazetini, mwanafikra, mwanaharakati, aliyekuwa mwanachama wa vyama vya wafanyakazi, na mwandishi wa habari wa Afrika Kusini. Friedman anayo shahada ya uzamivu ya Fasihi kutoka Chuo Kikuu cha Rhodes (2007) na anaongoza Kituo cha Uchunguzi wa Demokrasia, ambacho ni mradi wa pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Rhodes na Chuo Kikuu cha Johannesburg.[1]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Friedman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.