Nenda kwa yaliyomo

Steve Mounié

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Steve Michel Mounié (alizaliwa 29 Septemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kitaalamu kutoka Benin anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Süper Ligi kutoka Alanyaspor, kwa mkopo kutoka klabu inao shiriki katika Ligi ya Bundesliga ya FC Augsburg na pia anaiwakilisha timu ya taifa ya Benin.[1]

  1. "Benin – S. Mounié – Matokeo, ratiba, jedwali na takwimu". Soccerway. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steve Mounié kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.