Nenda kwa yaliyomo

Stephen Naidoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephen Naidoo, C.Ss.R. (29 Oktoba 1937 – 1 Julai 1989) alikuwa mchungaji wa Waredentori na askofu mkuu wa Kanisa Katoliki.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Cape Town kuanzia 1984 hadi 1989.[1]

  1. ↑ "Naidoo, Stephen". Dictionary of African Christian Biography (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-09.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.