Nenda kwa yaliyomo

Stephen Kim Sou-hwan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephen (mara nyingi huandikwa kama Stephanus kwa Kilatini) Kim Sou-hwan (8 Mei 192216 Februari 2009) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki na askofu mkuu wa Seoul, Korea Kusini.

Alikuwa na hadhi kubwa katika kipindi cha mabadiliko ya damu na machafuko kutoka utawala wa kijeshi hadi demokrasia nchini Korea Kusini, na alikuwa heshimika sana miongoni mwa sehemu zote za jamii ya Korea Kusini.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.