Stephen Chow (askofu)
Mandhari
Stephen Chow Sau-yan, S.J. (Kichina: 周守仁; alizaliwa 7 Agosti 1959) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Hong Kong ambaye amehudumu kama Askofu wa Hong Kong tangu 2021. Kabla ya hapo, alikuwa mkuu wa Mkoa wa china wa Shirika la Yesu kuanzia 2018 hadi 2021.
Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 30 Septemba 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Resignations and Appointments, 17.05.2021 (Press release). Holy See Press Office. 17 May 2021. https://press.vatican.va/content/salastampa/en/bollettino/pubblico/2021/05/17/210517a.html. Retrieved 18 May 2021.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |